sw_tn/lev/16/23.md

12 lines
400 B
Markdown

# na kuvua mavazi ya kitani
Haya yalikuwa mavazi maalum aliyovaa Aroni pekee alipoingi patakatifu pa patakatifu.
# Yapasa aoge mwili wake kwa maji mahali patakatifu
"Mahali Pataktifu" haimaanishi kwenye hema la kukutania. Hili lilikuwa ni eneo tofauti lililotengwa kwa ajili yake kuoga humo.
# kuvaa nguo zake za kawaida
Haya ni mavazi ambayo Aroni alivaa kwa ajili ya majukumu yake ya kawaida.