sw_tn/lev/16/23.md

400 B

na kuvua mavazi ya kitani

Haya yalikuwa mavazi maalum aliyovaa Aroni pekee alipoingi patakatifu pa patakatifu.

Yapasa aoge mwili wake kwa maji mahali patakatifu

"Mahali Pataktifu" haimaanishi kwenye hema la kukutania. Hili lilikuwa ni eneo tofauti lililotengwa kwa ajili yake kuoga humo.

kuvaa nguo zake za kawaida

Haya ni mavazi ambayo Aroni alivaa kwa ajili ya majukumu yake ya kawaida.