# na kuvua mavazi ya kitani Haya yalikuwa mavazi maalum aliyovaa Aroni pekee alipoingi patakatifu pa patakatifu. # Yapasa aoge mwili wake kwa maji mahali patakatifu "Mahali Pataktifu" haimaanishi kwenye hema la kukutania. Hili lilikuwa ni eneo tofauti lililotengwa kwa ajili yake kuoga humo. # kuvaa nguo zake za kawaida Haya ni mavazi ambayo Aroni alivaa kwa ajili ya majukumu yake ya kawaida.