sw_tn/lev/16/15.md

756 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kile ambacho Aroni anapaswa kufanya siku ile ya upatanisho.

lazima ainyunyize juu ya kifuniko cha upatanisho na mbele ya kifunuko cha upatanisho

Tazama maelezo ya sura 16:14

Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu kwa sababu ya matendo ya unajisi ya watu wa Israeli

Tahambi za watu wa Israeli zilipanajisi patakatifu.

matendo ya unajisi...uasi...dhambi

Maneno haya kimsingi ni yale yale. Nayasisitiza kwamba watu wametenda aina zote za dhambi.

Matendo ya unajisi

Tazama amelezo ya sura 13:20

katika uwepo wa matendo yao ya unajisi.

Kile kirai "matendo yao ya unajisi" huwakilisha watu wafanyao matendo ya dhambi. : "katika uwepo wa watu wafanyao matendo ya dhambi"