sw_tn/lev/16/15.md

24 lines
756 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kile ambacho Aroni anapaswa kufanya siku ile ya upatanisho.
# lazima ainyunyize juu ya kifuniko cha upatanisho na mbele ya kifunuko cha upatanisho
Tazama maelezo ya sura 16:14
# Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu kwa sababu ya matendo ya unajisi ya watu wa Israeli
Tahambi za watu wa Israeli zilipanajisi patakatifu.
# matendo ya unajisi...uasi...dhambi
Maneno haya kimsingi ni yale yale. Nayasisitiza kwamba watu wametenda aina zote za dhambi.
# Matendo ya unajisi
Tazama amelezo ya sura 13:20
# katika uwepo wa matendo yao ya unajisi.
Kile kirai "matendo yao ya unajisi" huwakilisha watu wafanyao matendo ya dhambi. : "katika uwepo wa watu wafanyao matendo ya dhambi"