# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa kile ambacho Aroni anapaswa kufanya siku ile ya upatanisho. # lazima ainyunyize juu ya kifuniko cha upatanisho na mbele ya kifunuko cha upatanisho Tazama maelezo ya sura 16:14 # Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu kwa sababu ya matendo ya unajisi ya watu wa Israeli Tahambi za watu wa Israeli zilipanajisi patakatifu. # matendo ya unajisi...uasi...dhambi Maneno haya kimsingi ni yale yale. Nayasisitiza kwamba watu wametenda aina zote za dhambi. # Matendo ya unajisi Tazama amelezo ya sura 13:20 # katika uwepo wa matendo yao ya unajisi. Kile kirai "matendo yao ya unajisi" huwakilisha watu wafanyao matendo ya dhambi. : "katika uwepo wa watu wafanyao matendo ya dhambi"