sw_tn/lev/16/11.md

300 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kile ambacho Aroni anapaswa kufanya siku ile ya upatanisho.

amchinje huyo fahali

Aroni angeikusanya damu ya fahali kwenye bakuli ili kwamba baadaye ainyunyize juu ya kiduniko cha upatanisho. Maana kamili ya maelezo haya yaweza kuwekwa wazi.