# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa kile ambacho Aroni anapaswa kufanya siku ile ya upatanisho. # amchinje huyo fahali Aroni angeikusanya damu ya fahali kwenye bakuli ili kwamba baadaye ainyunyize juu ya kiduniko cha upatanisho. Maana kamili ya maelezo haya yaweza kuwekwa wazi.