sw_tn/lev/14/45.md

391 B

Yapasa hiyo nyumba ibomolewe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa waiangushea nyumba chini"

Na hayo mawe, na udongo wa lipu vitachukuliwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa waondowe mawe, mbao, na lipu yote katika nyumba"

yeyote aingiaye ndani ya nyumba....atakuwa najis

Tazama maelezo ya sura ya 13:20

hata jioni

"mpaka machweo"