# Yapasa hiyo nyumba ibomolewe Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa waiangushea nyumba chini" # Na hayo mawe, na udongo wa lipu vitachukuliwa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa waondowe mawe, mbao, na lipu yote katika nyumba" # yeyote aingiaye ndani ya nyumba....atakuwa najis Tazama maelezo ya sura ya 13:20 # hata jioni "mpaka machweo"