sw_tn/lev/14/45.md

16 lines
391 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yapasa hiyo nyumba ibomolewe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa waiangushea nyumba chini"
# Na hayo mawe, na udongo wa lipu vitachukuliwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa waondowe mawe, mbao, na lipu yote katika nyumba"
# yeyote aingiaye ndani ya nyumba....atakuwa najis
Tazama maelezo ya sura ya 13:20
# hata jioni
"mpaka machweo"