sw_tn/lev/14/43.md

8 lines
243 B
Markdown

# katika nyumba...na kupigwa lipu upya
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "katika nyumba baada ya mmiliki kuyaondoa mawe, amezikwangua kuta, na kuyafunika mawe kwa udongo.
# nyumba hiyo ni najisi
Taama maelezo ya sura 13:20