# katika nyumba...na kupigwa lipu upya Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "katika nyumba baada ya mmiliki kuyaondoa mawe, amezikwangua kuta, na kuyafunika mawe kwa udongo. # nyumba hiyo ni najisi Taama maelezo ya sura 13:20