sw_tn/lev/14/43.md

243 B

katika nyumba...na kupigwa lipu upya

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "katika nyumba baada ya mmiliki kuyaondoa mawe, amezikwangua kuta, na kuyafunika mawe kwa udongo.

nyumba hiyo ni najisi

Taama maelezo ya sura 13:20