sw_tn/lev/14/41.md

24 lines
640 B
Markdown

# Naye atataka
"Naye" hapa humaanisha kuhani.
# zikwanguliwe kuta zote za ndani ya hiyo nyumba
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kwamba mmiliki anazikwangua kuta zote za nadani"
# vilivyochafuliwa na hivyo vifaa vilivyokwanguliwa
Hii humaanisha vifaa vyenye ukungu juu yake. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : KIfaa kilichochafuliwa kile walichokikwangua"
# mahali paliponajis
Tazama maelezo ya 13:20
# mawe yaliyoondolewa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yale mawe waliyoyaondoa"
# lazima watumie udongo mpya kuipiga lipu hiyo nyumba
"lazimz wayafunike hayo kwa udongo mpya"