# Naye atataka "Naye" hapa humaanisha kuhani. # zikwanguliwe kuta zote za ndani ya hiyo nyumba Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kwamba mmiliki anazikwangua kuta zote za nadani" # vilivyochafuliwa na hivyo vifaa vilivyokwanguliwa Hii humaanisha vifaa vyenye ukungu juu yake. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : KIfaa kilichochafuliwa kile walichokikwangua" # mahali paliponajis Tazama maelezo ya 13:20 # mawe yaliyoondolewa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yale mawe waliyoyaondoa" # lazima watumie udongo mpya kuipiga lipu hiyo nyumba "lazimz wayafunike hayo kwa udongo mpya"