sw_tn/lev/14/41.md

640 B

Naye atataka

"Naye" hapa humaanisha kuhani.

zikwanguliwe kuta zote za ndani ya hiyo nyumba

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kwamba mmiliki anazikwangua kuta zote za nadani"

vilivyochafuliwa na hivyo vifaa vilivyokwanguliwa

Hii humaanisha vifaa vyenye ukungu juu yake. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : KIfaa kilichochafuliwa kile walichokikwangua"

mahali paliponajis

Tazama maelezo ya 13:20

mawe yaliyoondolewa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yale mawe waliyoyaondoa"

lazima watumie udongo mpya kuipiga lipu hiyo nyumba

"lazimz wayafunike hayo kwa udongo mpya"