sw_tn/lev/14/36.md

12 lines
495 B
Markdown

# ili kwamba kusiwe na kitu ndani ya nyumba kitakachonajisika
mara tu kuhani alipoitangaza nyumba najis, kila kitu kilichokuwa kwenye nyumba kilikuwa najisi pia. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kiasi kwamba hahitaji kutangaza kitu cho chote kilichosalia ndani ya nyumba kuwa najisi"
# ndani ya nyumba kitakachonajisika
Tazama maelezo ya sura 13:20
# katika bonde za kuta.
Hii inamaanisha kwamba kuhani ndiye atakayeamua iwapo ukungu umeingi ndani ya nyuso za kuta tu.