# ili kwamba kusiwe na kitu ndani ya nyumba kitakachonajisika mara tu kuhani alipoitangaza nyumba najis, kila kitu kilichokuwa kwenye nyumba kilikuwa najisi pia. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kiasi kwamba hahitaji kutangaza kitu cho chote kilichosalia ndani ya nyumba kuwa najisi" # ndani ya nyumba kitakachonajisika Tazama maelezo ya sura 13:20 # katika bonde za kuta. Hii inamaanisha kwamba kuhani ndiye atakayeamua iwapo ukungu umeingi ndani ya nyuso za kuta tu.