sw_tn/lev/14/36.md

495 B

ili kwamba kusiwe na kitu ndani ya nyumba kitakachonajisika

mara tu kuhani alipoitangaza nyumba najis, kila kitu kilichokuwa kwenye nyumba kilikuwa najisi pia. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kiasi kwamba hahitaji kutangaza kitu cho chote kilichosalia ndani ya nyumba kuwa najisi"

ndani ya nyumba kitakachonajisika

Tazama maelezo ya sura 13:20

katika bonde za kuta.

Hii inamaanisha kwamba kuhani ndiye atakayeamua iwapo ukungu umeingi ndani ya nyuso za kuta tu.