sw_tn/lev/14/26.md

8 lines
312 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wanapaswa kufanya mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi.
# sehemu ya mafuta...atanyunyizia...mbele za Yahweh
"sehemu ya mafuta...nyunyizia...mbele za Yahweh." Hakuna kiashiria cha kile ambacho kuhani aliyanyunyizia mafuta juu yake.