sw_tn/lev/14/26.md

312 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wanapaswa kufanya mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi.

sehemu ya mafuta...atanyunyizia...mbele za Yahweh

"sehemu ya mafuta...nyunyizia...mbele za Yahweh." Hakuna kiashiria cha kile ambacho kuhani aliyanyunyizia mafuta juu yake.