# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wanapaswa kufanya mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi. # sehemu ya mafuta...atanyunyizia...mbele za Yahweh "sehemu ya mafuta...nyunyizia...mbele za Yahweh." Hakuna kiashiria cha kile ambacho kuhani aliyanyunyizia mafuta juu yake.