sw_tn/lev/14/01.md

12 lines
443 B
Markdown

# Maelezo kwa Ujumla
Yahweh aHii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji.nawaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wanapaswa kufanya mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi.
# siku yake ya utakaso
Hii hurejelea siku ya ambayo kuhani anamtangaza mtu kuwa ni safi kwa kanuni za kidini
# Ni lazima aletwe kwa kuhani
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu mmoja anaweza kumleta kwa k"uhani au "Yeye anaweza kwenda kwa kuhani"