# Maelezo kwa Ujumla Yahweh aHii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji.nawaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wanapaswa kufanya mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi. # siku yake ya utakaso Hii hurejelea siku ya ambayo kuhani anamtangaza mtu kuwa ni safi kwa kanuni za kidini # Ni lazima aletwe kwa kuhani Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu mmoja anaweza kumleta kwa k"uhani au "Yeye anaweza kwenda kwa kuhani"