sw_tn/lev/14/01.md

443 B

Maelezo kwa Ujumla

Yahweh aHii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji.nawaambia Musa na Aroni kile ambacho watu wanapaswa kufanya mtu anapotakaswa ugonjwa wa ngozi.

siku yake ya utakaso

Hii hurejelea siku ya ambayo kuhani anamtangaza mtu kuwa ni safi kwa kanuni za kidini

Ni lazima aletwe kwa kuhani

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu mmoja anaweza kumleta kwa k"uhani au "Yeye anaweza kwenda kwa kuhani"