sw_tn/lev/13/56.md

20 lines
549 B
Markdown

# baada ya kuwa umeoshwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Baada ya miliki kuwa amekiosha"
# lazima utakichoma moto
Anayelazimika hapa haimaanishi kuhani hasa. bali inamaanisha tu yule anayepaswa kukichoma hicho chombo.
# iwapo unakisafisha kifaa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : Endapo mmiliki anakiosha"
# nao ukungu ukawa umetoka, nacho kifaa lazima kisafishwe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kisha huyo mmiliki lazima akioshe"
# kisha kitakuwa safi.
Tazama maelezo ya sura 13:23