sw_tn/lev/13/56.md

549 B

baada ya kuwa umeoshwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Baada ya miliki kuwa amekiosha"

lazima utakichoma moto

Anayelazimika hapa haimaanishi kuhani hasa. bali inamaanisha tu yule anayepaswa kukichoma hicho chombo.

iwapo unakisafisha kifaa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : Endapo mmiliki anakiosha"

nao ukungu ukawa umetoka, nacho kifaa lazima kisafishwe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kisha huyo mmiliki lazima akioshe"

kisha kitakuwa safi.

Tazama maelezo ya sura 13:23