# baada ya kuwa umeoshwa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Baada ya miliki kuwa amekiosha" # lazima utakichoma moto Anayelazimika hapa haimaanishi kuhani hasa. bali inamaanisha tu yule anayepaswa kukichoma hicho chombo. # iwapo unakisafisha kifaa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : Endapo mmiliki anakiosha" # nao ukungu ukawa umetoka, nacho kifaa lazima kisafishwe Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kisha huyo mmiliki lazima akioshe" # kisha kitakuwa safi. Tazama maelezo ya sura 13:23