sw_tn/lev/13/47.md

874 B

vazi la mtu huchafuliwa na ukungu

"Vazi lenye ukungu juu yake" au Vazi ambalo linaukungu"

kuchafuliwa

Kuwa chafu kwa sababukitu fulani chenye madhara kimeongezwa kwake.

ukungu

Kuvu, mala kwa mara huwa na rangi nyeupe, ambayo hukua juu ya vitu vilivyovichafu au vyenye unyevunyevu

au kitu chochote kilichosukwa au kufu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji' : : "au kitu chochote ambacho mtu aliye amekisokota au kukisuka"

Iwapo sehemu iliyochafuliwa ina rangi ya kijani au nyekundu katika vazi

"kama kuna uchafu wa kijani au wenye wekundo kwenye vazi"

kitu chochote kilichotengenezwa kwa ngozi

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kitu chochote kile ambacho mtu amekitengeneza kutoka na na ngozi"

lazima kionyeshwe kwa kuhani

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mmiliki wake yapasa kukionyesha kwa kuhani"