# vazi la mtu huchafuliwa na ukungu "Vazi lenye ukungu juu yake" au Vazi ambalo linaukungu" # kuchafuliwa Kuwa chafu kwa sababukitu fulani chenye madhara kimeongezwa kwake. # ukungu Kuvu, mala kwa mara huwa na rangi nyeupe, ambayo hukua juu ya vitu vilivyovichafu au vyenye unyevunyevu # au kitu chochote kilichosukwa au kufu Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji' : : "au kitu chochote ambacho mtu aliye amekisokota au kukisuka" # Iwapo sehemu iliyochafuliwa ina rangi ya kijani au nyekundu katika vazi "kama kuna uchafu wa kijani au wenye wekundo kwenye vazi" # kitu chochote kilichotengenezwa kwa ngozi Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kitu chochote kile ambacho mtu amekitengeneza kutoka na na ngozi" # lazima kionyeshwe kwa kuhani Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mmiliki wake yapasa kukionyesha kwa kuhani"