sw_tn/lev/13/47.md

28 lines
874 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vazi la mtu huchafuliwa na ukungu
"Vazi lenye ukungu juu yake" au Vazi ambalo linaukungu"
# kuchafuliwa
Kuwa chafu kwa sababukitu fulani chenye madhara kimeongezwa kwake.
# ukungu
Kuvu, mala kwa mara huwa na rangi nyeupe, ambayo hukua juu ya vitu vilivyovichafu au vyenye unyevunyevu
# au kitu chochote kilichosukwa au kufu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji' : : "au kitu chochote ambacho mtu aliye amekisokota au kukisuka"
# Iwapo sehemu iliyochafuliwa ina rangi ya kijani au nyekundu katika vazi
"kama kuna uchafu wa kijani au wenye wekundo kwenye vazi"
# kitu chochote kilichotengenezwa kwa ngozi
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kitu chochote kile ambacho mtu amekitengeneza kutoka na na ngozi"
# lazima kionyeshwe kwa kuhani
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mmiliki wake yapasa kukionyesha kwa kuhani"