sw_tn/lev/13/26.md

20 lines
412 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.
# analichunguza
Kinachochunguzwa hapa ni lile jeraha la moto juu ya ngozi ya mtu.
# naye kuhani atamtangaza kuwa najisi
Tazama amaelezo ya sura 13:20
# Ugonjwa wa kuambukiza
Tazama maelezo ya sura 13:3
# , naye kuhani atamtangaza kuwa safi
Tazama maelezo ya sura 13:23