sw_tn/lev/13/26.md

412 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

analichunguza

Kinachochunguzwa hapa ni lile jeraha la moto juu ya ngozi ya mtu.

naye kuhani atamtangaza kuwa najisi

Tazama amaelezo ya sura 13:20

Ugonjwa wa kuambukiza

Tazama maelezo ya sura 13:3

, naye kuhani atamtangaza kuwa safi

Tazama maelezo ya sura 13:23