# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi. # analichunguza Kinachochunguzwa hapa ni lile jeraha la moto juu ya ngozi ya mtu. # naye kuhani atamtangaza kuwa najisi Tazama amaelezo ya sura 13:20 # Ugonjwa wa kuambukiza Tazama maelezo ya sura 13:3 # , naye kuhani atamtangaza kuwa safi Tazama maelezo ya sura 13:23