sw_tn/lev/13/21.md

16 lines
417 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.
# analichunguza
Kinachochunguzwa hapa ni ule uvimbe au doa ling'aalo juu ya ngozi.
# kuhani atamtangaza kuwa najisi.
Tazama maelezo ya sura ya 13:20
# naye kuhani atamtangaza kuwa safi
Mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile.