# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi. # analichunguza Kinachochunguzwa hapa ni ule uvimbe au doa ling'aalo juu ya ngozi. # kuhani atamtangaza kuwa najisi. Tazama maelezo ya sura ya 13:20 # naye kuhani atamtangaza kuwa safi Mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile.