sw_tn/lev/13/21.md

417 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

analichunguza

Kinachochunguzwa hapa ni ule uvimbe au doa ling'aalo juu ya ngozi.

kuhani atamtangaza kuwa najisi.

Tazama maelezo ya sura ya 13:20

naye kuhani atamtangaza kuwa safi

Mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile.