sw_tn/lev/13/15.md

20 lines
450 B
Markdown

# Kuhani atamtangaza...najisi kwa sababu hiyo nyama yake mbichi ni najisi
Tazama maelezo ya hapo juu 13:6
# kumtangaza kuwa najisi
Anayetangazwa hapa ni yule mwenye ugonjwa wa ngozi
# nyama mbichi
Tazama mafafanuzi yaliyo kwenye 13:9
# ugonjwa wa kuambukiza
Imefasiriwa kama ilivyofanyika katia 13:3
# kuhani atatangaza kwamba mtu huyo kuwa safi
Yule mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba akuwa safi kimaumbile.