sw_tn/lev/13/15.md

450 B

Kuhani atamtangaza...najisi kwa sababu hiyo nyama yake mbichi ni najisi

Tazama maelezo ya hapo juu 13:6

kumtangaza kuwa najisi

Anayetangazwa hapa ni yule mwenye ugonjwa wa ngozi

nyama mbichi

Tazama mafafanuzi yaliyo kwenye 13:9

ugonjwa wa kuambukiza

Imefasiriwa kama ilivyofanyika katia 13:3

kuhani atatangaza kwamba mtu huyo kuwa safi

Yule mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba akuwa safi kimaumbile.