# Kuhani atamtangaza...najisi kwa sababu hiyo nyama yake mbichi ni najisi Tazama maelezo ya hapo juu 13:6 # kumtangaza kuwa najisi Anayetangazwa hapa ni yule mwenye ugonjwa wa ngozi # nyama mbichi Tazama mafafanuzi yaliyo kwenye 13:9 # ugonjwa wa kuambukiza Imefasiriwa kama ilivyofanyika katia 13:3 # kuhani atatangaza kwamba mtu huyo kuwa safi Yule mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba akuwa safi kimaumbile.