sw_tn/lev/13/05.md

24 lines
552 B
Markdown

# huyo kuhani itambidi kumchunguza
Anayechunguzwa hapa ni yule mtu aliye na ugonjwa wa ngozi
# kama haujaenea kwenye ngozi
Hii inamaanisha kwamba kama ugonjwa wa ngozi haujaongozeka katika ukubwa au haujasogea kwenye sehemu zingine za mwili.
# siku ya saba
"Ya saba" ni idadi kwa 7. : "siku ya 7"
# siku saba
"Siku 7"
# Naye kuhani atamtangaza safi ...yeye ni safi.
Yule mtu ambaye wengine wangemgusa amezungumziwa kana kwamba ni safi kimbaumbile.
# upele
Hii ili eneo la ngozi lililoumbuliwa, lakini upele upele hataenea kwa watu wengine.