# huyo kuhani itambidi kumchunguza Anayechunguzwa hapa ni yule mtu aliye na ugonjwa wa ngozi # kama haujaenea kwenye ngozi Hii inamaanisha kwamba kama ugonjwa wa ngozi haujaongozeka katika ukubwa au haujasogea kwenye sehemu zingine za mwili. # siku ya saba "Ya saba" ni idadi kwa 7. : "siku ya 7" # siku saba "Siku 7" # Naye kuhani atamtangaza safi ...yeye ni safi. Yule mtu ambaye wengine wangemgusa amezungumziwa kana kwamba ni safi kimbaumbile. # upele Hii ili eneo la ngozi lililoumbuliwa, lakini upele upele hataenea kwa watu wengine.