sw_tn/lev/13/05.md

552 B

huyo kuhani itambidi kumchunguza

Anayechunguzwa hapa ni yule mtu aliye na ugonjwa wa ngozi

kama haujaenea kwenye ngozi

Hii inamaanisha kwamba kama ugonjwa wa ngozi haujaongozeka katika ukubwa au haujasogea kwenye sehemu zingine za mwili.

siku ya saba

"Ya saba" ni idadi kwa 7. : "siku ya 7"

siku saba

"Siku 7"

Naye kuhani atamtangaza safi ...yeye ni safi.

Yule mtu ambaye wengine wangemgusa amezungumziwa kana kwamba ni safi kimbaumbile.

upele

Hii ili eneo la ngozi lililoumbuliwa, lakini upele upele hataenea kwa watu wengine.