sw_tn/lev/11/43.md

399 B

Taariifa kwa Ujumla

Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu waahesabu najisi

Msijitie unajisi... msije mkachafuliwa navyo.

Yahweh anarudia wazo lilelile mara mbili ili kutia nguvu amri kwamba haiwapasi kula mnyama yeyote aliyenajisi.

msijitie unasi kwavyo

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kiasi kwamba mnakosa kuwa safi kwa sababu ya hivyo"