# Taariifa kwa Ujumla Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu waahesabu najisi # Msijitie unajisi... msije mkachafuliwa navyo. Yahweh anarudia wazo lilelile mara mbili ili kutia nguvu amri kwamba haiwapasi kula mnyama yeyote aliyenajisi. # msijitie unasi kwavyo Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kiasi kwamba mnakosa kuwa safi kwa sababu ya hivyo"