sw_tn/lev/11/43.md

12 lines
399 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taariifa kwa Ujumla
Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu waahesabu najisi
# Msijitie unajisi... msije mkachafuliwa navyo.
Yahweh anarudia wazo lilelile mara mbili ili kutia nguvu amri kwamba haiwapasi kula mnyama yeyote aliyenajisi.
# msijitie unasi kwavyo
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kiasi kwamba mnakosa kuwa safi kwa sababu ya hivyo"