sw_tn/lev/11/34.md

24 lines
694 B
Markdown

# Vyakula vyote ambavyo ni safi
Vyakula ambavyo Mungu amevitaja kuwa vimekubalika kwa watu kula kimezumgumziwa kana kwamba kilikuwa safi kimaumbile.
# na kilichoruhusiwa kuliwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambacho waweza kukila"
# .nacho kitakuwa najisi
Chakula kisichokubalika kwa watu kukila kwa sababu maji yaliyonajisi yamemwagikia juu yake kimezungumziwa kana kwamba kilikuwa kichafu kimaumbile
# kinachoweza kunywewa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "waweza kunywa"
# cha mzoga
"cha maiti"
# Ni lazima kivunjwevunjwe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ni lazima ukivunje vipandevipand"e au "Yakupasa kukisambaratisha"