sw_tn/lev/11/34.md

694 B

Vyakula vyote ambavyo ni safi

Vyakula ambavyo Mungu amevitaja kuwa vimekubalika kwa watu kula kimezumgumziwa kana kwamba kilikuwa safi kimaumbile.

na kilichoruhusiwa kuliwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambacho waweza kukila"

.nacho kitakuwa najisi

Chakula kisichokubalika kwa watu kukila kwa sababu maji yaliyonajisi yamemwagikia juu yake kimezungumziwa kana kwamba kilikuwa kichafu kimaumbile

kinachoweza kunywewa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "waweza kunywa"

cha mzoga

"cha maiti"

Ni lazima kivunjwevunjwe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ni lazima ukivunje vipandevipand"e au "Yakupasa kukisambaratisha"