# Vyakula vyote ambavyo ni safi Vyakula ambavyo Mungu amevitaja kuwa vimekubalika kwa watu kula kimezumgumziwa kana kwamba kilikuwa safi kimaumbile. # na kilichoruhusiwa kuliwa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambacho waweza kukila" # .nacho kitakuwa najisi Chakula kisichokubalika kwa watu kukila kwa sababu maji yaliyonajisi yamemwagikia juu yake kimezungumziwa kana kwamba kilikuwa kichafu kimaumbile # kinachoweza kunywewa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "waweza kunywa" # cha mzoga "cha maiti" # Ni lazima kivunjwevunjwe Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ni lazima ukivunje vipandevipand"e au "Yakupasa kukisambaratisha"